Nashukuru ubatizo wa mwanangu umeisha salama sasa ataitwa Ben Membe.

Watu washaachana na ambar ruty, sasa hivi ni membe tu. Baada ya muda atakuja mwingine. Maisha yanasonga.
 
Mwanangu kabatizwa leo sasa ataitwa Ben Membe naamini atalitendea haki jina hilo la kimataifa ili aje awe wa kimataifa na yeye kama mzee membe
Ulitakiwa umuite lile jina la lodilofa au yohana mbatizaji
 
Mwanangu kabatizwa leo sasa ataitwa Ben Membe naamini atalitendea haki jina hilo la kimataifa ili aje awe wa kimataifa na yeye kama mzee membe

KAMPENI ZA URAIS 2020 ZIMESHIKA KASI KWELI KWELI.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] we jamaa hebu uwe serious ataitwa Bernard Membe????......kwani we unaitwa membe?
 
Inaonekana wananchi wanamhitaji Membe awe kiongozi wa nchi hii kutokana na aliyopo kushindwa kuongoza kwa kutumia katiba bali ubabe na vitisho
 
membe kafanana n.a. pastor Chris oyakhilome
 
Watu wameanza kupata kiwewe! Waliposikia jina la Mbembe matumbo yaliwaka moto,mfanowe yule jamaa mwenye jina la huzuni na majonzi yaani Msiba. Wanamtuma alonge apendavyo ili kuwakata maini vidume,lkn jamaa bado wameng'ang'ania hilo jina kuu la MEMBE
 
Hongera tumshauri nae Mgibeon abadiki jina mtoto kutoka joni
Ha ha ha hahaaaaaaa.... 2020 Twende na Membe! Rais mzalendo wa kweli na Mwenye dhamira ya kweli ya kuwatumikia wanyonge na kuwainua.
 
Mkuu mpaka kufikia leo unatoa hitimisho gani?
 
Mkuu mpaka kufikia leo unatoa hitimisho gani?
Naona Membe na watu walio nyuma yake wakishindwa.
Sasa naanza kuamini Membe anatumiwa kumtingisha baba J.

Lakini shida ya watu wengi wakiwamo hao wa Membe na Membe mwenyewe wamem-under estimate baba J wanadhani anayofanya yote ni kwa akili na nguvu yake mwenyewe na wengine wanapokea maagizo tu. Kumbe huyo mzee si mdharau lakini hawezi kuwa na mikakati mizuri namna anavyofanya bila kuwa na jopo la watu ambao ni makini sana na wanaoweza kulazimisha maamuzi magumu.

Kifupi watu wa baba J ni ruthless kwelikweli. Kwa njia yoyote ile wakitaka kitu kumlinda mtu wao wanafanya bila kusita. Kifupi wao ndio Tanzania uionayo leo ya kibabe kimaslahi. By hooks and crooks watailinda Tanzania na watamlinda wanaeamini ataisogeza mbele Tanzania.

Membe na wenzie wakifanikiwa basi nchi itabaki kama Libya, Iraq au DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…