GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,685 Reaction score 128,178 Oct 2, 2026 #1 Fahamu mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya wananchi wasiojua kusoma wala kuandika nchini Tanzania, kulingana na ripoti za takwimu za kitaifa. Tabora — 32% Katavi — 29.6% Rukwa — 25.9% Simiyu — 25% Dodoma — 23.7% Kigoma — 23.3% Geita — 23% Shinyanga — 22.7% Lindi — 22.4% Mtwara — 22% Chanzo Taarifa: JamiiForums Habari na Matukio. Na nimegundua pia hata 99.9999% ya HATERS wangu wengi hapa JamiiForums wanatokea hii Mikoa Kumi tajwa hapa.
Fahamu mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya wananchi wasiojua kusoma wala kuandika nchini Tanzania, kulingana na ripoti za takwimu za kitaifa. Tabora — 32% Katavi — 29.6% Rukwa — 25.9% Simiyu — 25% Dodoma — 23.7% Kigoma — 23.3% Geita — 23% Shinyanga — 22.7% Lindi — 22.4% Mtwara — 22% Chanzo Taarifa: JamiiForums Habari na Matukio. Na nimegundua pia hata 99.9999% ya HATERS wangu wengi hapa JamiiForums wanatokea hii Mikoa Kumi tajwa hapa.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Oct 2, 2026 #2 Yakhe
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,477 Reaction score 5,283 Oct 2, 2026 #3 Watu wakuchukie kwa lipi?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Oct 2, 2026 #4 Jini la Dodoma nalo ndani...
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Oct 2, 2026 #5 secretarybird said: Jini la Dodoma nalo ndani... Click to expand... Ati pwani haipo 🤔 kwa shemej
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Oct 2, 2026 #6 Monetary doctor said: Ati pwani haipo 🤔 kwa shemej Click to expand... Nashangaa haipo.
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,252 Reaction score 4,839 Oct 2, 2026 #7 Bora hata mkoa wangu haupo au mtani GENTAMYCINE unasemaje?
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 5,824 Reaction score 14,757 Oct 2, 2026 #8 Mara ndo mkoa unao ongoza kwa idadi kubwa ya wasomi hapa nchini