Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Wote Waafrika na wazungu ni binadamu ila wenzetu wamekuwa wakifanya mambo ya kipekee sana kiasi hata sisi(waafrika) bila wao tusingeyafikilia chukulia mifano mingi sana ihusuyo Technology,twende kwenye maradhi,mavazi na hata muonekano wao utagundua hawa jamaa ni special creation.Yaani kama kungekuwa tunatengenezwa na kiwanda hawa jamaa ni orijin sis fake.Nimejikuta naropoka yote hayo kutokana na kujiuliza swali kichwani kwa nini hawa jamaa wanaongoza kila kitu kizuri na sisi tunaongoza kwa vitu vibaya mfan umaskin,maradhi nahisi hata akili wanatupita ndo maana innovation kwa vitu vingi imefanywa na wao.Niliishi Mbez beach ambapo familia nyingi za wabongo waliosoma na kuyaona maisha wanaishi kwa wingi ila nilipokuwa napepeza macho nilikuwa nagundua kabisa hapa anakaa mzungu pale mbongo bila hata ya kuulizia yaani jamani nina mengi sana jaribu hata kuangalia sura ya nchi yetu Tz alafu ufananishe na nchi kama uswiz utashangaa kwa nini hatuendelei,check hata shule na makanisa yaliyojengwa enzi zao alafu check shule zitokanazo na mkono wa mbongo kisha linganisha ubora wake.Aisee imefika point hadi najiuliza si Afrika origin yetu wapi ikiwa Adamu na Eva(Hawa) ni white pipo.Na je tunatofautiana nao nin hadi wanatuburuza kwenye kila kitu kilicho kizuri.Hebu nijuzeni maana nimeshaanza kuisi kama mablack tunawasindikiza wazungu.