Mwakapicha
Member
- Sep 8, 2013
- 70
- 15
Ndugu wana jamvi Jf nimeshindwa kujizuia nikaona nitoe ya moyini.
Mosi- Nawashukuru sana tena sana Wote Wana JF mnaotumia muda wenu na pesa kutuelimisha waTz juu ya mafanikio. Be blessed a lot.
Pili- Nasikitika kwa kuchelewa kujijoin na Jf, hususani kuvumbua Hazina kubwa iliyofichika machoni pa wengi waTz humu jamvini.
Tatu- Nimehuzunika kwa kupoteza muda mwingi kutegemea salary pekee, I have been working for almost six yrs but no any achievement, zaidi zaidi niko stagnant, economically nina kwashakoo.
Wanasiasa wengi wapo kwa ajili ya matumbo yao binafsi na wala hawana dhamiri ya dhati kuwatoa watz kwenye poverty so sometime ni michosho kufaitilia ishu like, katibu wa chama, ooh mwenyekiti, mara msemaji wa chama, Wizi mtupu.
Ndipo nikakumbuka neno hili:
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Naahidi jamvini mwezi ujao naanza rasmi kutekeleza niliyojifunza jamvini,priority ni Ufugaji wa kuku, bcz eneo lipo,
Shukrani wadau, pamoja saaana.