KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Ndio Nani poleKama Kichwa kinavyoelewa
Huyu Jamaa Animba nyimbo za injili zamani alikuwa ni rasta
sasa nimesikia kwamba amefariki naombeni habari wenye uhakika
Anaitwa Prince AmosiView attachment 1042735View attachment 1042736
Kwenye mambo ya kumaanisha acha kuleta utani basi
Ha ha au Mwalimu mkuu mama yake?Kwenye mambo ya kumaanisha acha kuleta utani basi
Umesikia wapi?Kama Kichwa kinavyoelewa
Huyu Jamaa Animba nyimbo za injili zamani alikuwa ni rasta
sasa nimesikia kwamba amefariki naombeni habari wenye uhakika
Anaitwa Prince AmosiView attachment 1042735View attachment 1042736
masikioniUmesikia wapi?
Muulize uliye msikia usituchoshe.masikioni
Marebo unamanisha faustin mnishi pastor yupo hai mpaka Leo anakula maisha ndani ya Nairobi cityHivi malebo yupo?