Kama nakuona vile Babra Hassanukienda Saluni kunyoa Clouds, kwenye madalala clouds , mitaani clouds , gym Clouds.......juzi nilikuwa Mwanza maeneo mengi wanasikiliza clouds, Arusha vilevile......Dodoma vilevile.....yaani tuwe wapole tu..
Hajui kwamba siku hizi kila mkoa unaredio zaidi ya Tano...!Labda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo
Kule kwetu Bukoba kuna redio zaidi ya 8, pia nimeishi Mbeya kuna redio zaidi ya 10Hajui kwamba siku hizi kila mkoa unaredio zaidi ya Tano...!
chako
zilipendwa yuleTuache unazi, wiv, fitina na roho mbaya.
Ruge ni habari nyingine