tanzania kwetu
New Member
- Apr 17, 2012
- 3
- 0
Mkuu, unachoshangaa ni degree zachupi? Je huna taarifa kwamba kuna hata Uwaziri wa chupi, Ukuu wa mkoa wa chupi, Ukuu wa wilaya wa chupi, Ubunge wa kuteuliwa wa chupi nk? Rushwa ya ngono nchi hii haitamalizika kwani mizizi yake iko hata kwa viongozi wakubwa wa kitaifa letu.Jamani wana jf naomba mnisaidie katika hili,juzi katika pita pita zangu nilikuta watu wakizungumzia kuhusu degree ambazo wanachuo huzipata huko wanakoita chuo kikuu.
Sikuelewa pale nilipomsikia mmoja wa wachangiaji wa ile mada akisema "kwani siku hizi ni degree basi!,ni degree za chupi tu"kwa sababu nilikuwa nasubiri gari sikuweza kumuelewa anamaanisha nini,hebu wewe nisaidie kama unaelewa
Asante!
Bigirita says thank you Eeka Mangi for this very useful postDigrii ya chupi ni my daili bred is injinia! Am soli am glad i remove my name!
Post 2
Rep, Power 0
Likes Received 0
Likes Given 0.
Chupi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, unachoshangaa ni degree zachupi? Je huna taarifa kwamba kuna hata Uwaziri wa chupi, Ukuu wa mkoa wa chupi, Ukuu wa wilaya wa chupi, Ubunge wa kuteuliwa wa chupi nk? Rushwa ya ngono nchi hii haitamalizika kwani mizizi yake iko hata kwa viongozi wakubwa wa kitaifa letu.