Huo ndio ukweli, kuna mtu siku moja alieleza isivyo sahihi mbele ya watu, eti aliwaambia ni za wale wenye GPA ndogo, wanaopewa alama ndogo kila mara kutokana na mabeef na chuki binafsi za lecturers, na kuwafanya eti wawe wanaogopa kuonyesha matokeo yao, kwa sababu ya aibu, eti bora waziweke kwenye chupi, zisionekane hadharani, hakuelewa hasa ila niliamua kuuchuna but later nikamwelezea mshikaji mwingine but tayari alikuwa anajua pia, hizo ni degree za kutoa rushwa za ngono, wanafunzi wa kike anaweza akalazimishwa kwa kutishiwa kufelishwa, au wengine wanawatega malecturer wenyewe na kujiachia kwa sex, but kuna baadhi pia ya malecturer wa kike, wanawalazimisha wanafunzi wa kiume kuwa na mahusiano nao, asipokubali, atapata shida sana, malecturer wanawapa shida kwa kuwafelisha pia wapenzi wa watu wanaowataka, kama huyo anayemtaka, kamtolea nje, Wanafunzi wanatakiwa kuwa na Umoja, sio kumshawishi mwenzako akubali ili asolve tatizo that way, mnaweza kuwa mnamuangamiza mwenzenu, mshirikiane, kamateni sms, tafuteni ushahidi wa kutosha, mwenzenu anaweza kujifanya kakubali kule, so ,mnakuwa mnamtrap tu huyo lecturer, kwa photos, videos, wanapotoka out, kukumbatiana, but asido naye kweli tu, kisha mnavirusha hewani, mnafikiri atarudia, ila kama kuna upendo wa kweli kati yao, hajatishwa mtu, kakubali toka moyoni mwake na wana nia ya kuwa pamoja kweli, it's ok, kuna watu walipendana na kuoana na malecturer wao kweli