Nasikia kuna dili M-PAWA ya Vodacom. Mwenye ufahamu

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Helo wakuu,

Mwenye ufahamu na hawa M-PAWA program anipe ushuhuda kidogo nataka niwekee. Nina laki 1 lengo nikope
 
Bila shaka umewaelewa tayari maana ni zaidi ya mwaka sasa ukute unalamba mikopo tu ya kufa mtu, tupe uzoefu nasi tujiunge
 
wahuni hao, niliwekaga milioni 2 ikakaa kama mwaka nikapewa kiwango cha kukopa...kila nikikopa naambiwa nikasajili laini nikaenda ofisini kwao wakadai hata wao hawaelewi tatizo ni kwanini hawataki kunikopesha nikaachana nao nikatoa pesa zote nikala kitimoto zikaisha. wahuni tu, airtel ndio nikaona hawana uhuni kama wa hawa wajuha
 
Hao jamaa mwanzoni walikua poa sana tukawa tunasajiri line za kutosha na kuwatandika ssa ivi mbinde ila AIRTEL walikua watamu sana
 
[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…