Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Shower gel nzuri zenye harufu ya matunda, vanilla au chocolate. utapenda ukitoka bafuni full kunukia vizuri. ukienda supermarket au maduka ya urembo/cosmetics ndo utapata za aina mbali mbali.

Angalizo: kuna wafanyabiashara nahisi si waaminifu wanaongezea maji kidogo kwenye zile zenye chupa za kufunguka kirahisi. utakuta shower gel aina moja ukienda kununua sehemu A ni nzito na ujazo sawa halafu sehem B ni nyepesi imejaa mpaka juu usawa wa mfuniko na mapovu yanaelea.
 
Hiyo ya chocolate ndo yenyewe[emoji2][emoji2]
 
Utadhani tupo wote hapa nyaishozi
 
Hapo ndugu umnifurahisha sana> Ushomile Ulaya au Marekani?
 

Maji ya buku inafaa kweli?
 
Kuna mambo ukiyajua unajiuliza kimoyo moyo "nilikuaga wapi mimi"

Tumia shower gel hutokaa urudi kwenye vipande milele nakwambia
Gharama yake ipoje na kimatumizi huwa inaweza kudumu kwa muda gani kwa mtu mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…