Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Gharama yake ipoje na kimatumizi huwa inaweza kudumu kwa muda gani kwa mtu mmoja?
Gharama inategemea na uliponunua na Ujazo wa Sabuni na kuhusu

Muda wa kukaa kwamimi natumiaga zaidi ya mwezi mzima zangu ni 1.5Ltr or 2Ltr
 
Sikweli kwamba sabuni za vipande zinaambukiza fangasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…