HesabuKali JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 2,791 Reaction score 5,687 Apr 19, 2018 #1 Baada ya kuridhishwa na utendaji mzuri wa Jiwe sasa mahakama hizo zimeomba zihamie kwenye nchi tukufu ili zishirikiane na CAG . Achana na miaka 25 na 12 hapa itakuwa 115 Segerea
Baada ya kuridhishwa na utendaji mzuri wa Jiwe sasa mahakama hizo zimeomba zihamie kwenye nchi tukufu ili zishirikiane na CAG . Achana na miaka 25 na 12 hapa itakuwa 115 Segerea
shungurui JF-Expert Member Joined Sep 1, 2008 Posts 3,765 Reaction score 5,160 Apr 19, 2018 #2 Utani mwingine haufai, watu watakufa kwa pressure.