Nasikia mashekh na wachungaji wamemiminika Kwenye lile jengo jeupe ili kupindua karma na Albadir

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu .

Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
 
Tatizo la Karma n inachelewa sana, hvy acha kinuke tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…