Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

Mahindi mabichi yanapochomwa alafu moto ukiwa mkali sana hayo ndio matokeo yake..
 
Mi mwenyewe nipo hapa Mwenge kwenye mafleti ya jeshi na nimesikia hiyo milio.

Ila niko na totoz so I give zero fcuks. Niko na Mina hapa....anawasalimu.
 
Mi mwenyewe nipo hapa Mwenge kwenye mafleti ya jeshi na nimesikia hiyo milio.

Ila niko na totoz so I give zero fcuks. Niko na Mina hapa....anawasalimu.
Nyani Ngabu=? Msaada please..
 
Duke Tachez rudisha ile ya avatar ile yule jamaa namkubali sana huwa nkiona picha yake inabidi nisome tu ulichoandika,haya kimbia hapo baani kwa Uwoya
Hahaaaa!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe scania hiyo nimeagiza Japan,imeshafika bandarini ,jumatatu inatoka nianze kupiga hela,ngoja niizoee kwanza baada ya hapo ntamrudisha wayne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…