Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

Ndio... Bongo Muvi wengi pia... Kwa wale wanaopenda kina James Delicious wapo kwa wingi.
Hivi hizi habari za delicious ni kubwa hivyo mjini hapo?

Mimi siku za karibuni nazisikia sana nikawa naona kama ni homophobia tu.Sad.

Hapo Shekilango yote Bamaga mpaka National Housing , hususan kipande cha Mori Checkpoint mpaka Makaburini viwanja vyangu sana siku hizo za Bongo. Weekend kama hivi Jumamosi jioni Checkpoint tunafunga muziki wetu mkubwa, watu wanakunywa, wanachoma nyama na kufurahi, usiku unatembea tu nyumbani karibu.

Leo nikirudi nakuwa mgeni.
 
Wanawake wa bongo movie Malaya hawa,huyu wa clouds kuna jamaa yangu kapiga kwa milioni 3
Duu hatari saaana, mil. 3 kwa game la siku moja. Huku mikoani milioni mil.3 inatosha kulipia gharama za mahari hadi ndoa. Mwambie jamaa yako asirudie kuelekeza kwenye matumizi yasiyo na tija.
 

Siku hizi pia unatembea bila ya Wasiwasi miaka ile ulikuwa unakutana na Walinzi ila sasa hivi ni tofauti kila Nyumba na Uchochoro unakutana na Group la Wadada na Baadhi ya Wakaka poa... Wakikusumbua sumbua... Na wamejipanga haswa.
1.Mabonge-Sinza Mori Bar
2.Vimbau-mbau Corner Bar Afrika Sanaa Streach mpaka Hongera Bar Ustawi.
3.Wachafu-Wachafu Kuanzia Corner Bar Afrika Sanaa Streach mpaka Sinza Mori.
4.Kaka Poa. Jumamosi zote wapo Soccer City Lounge,Siku zote kwa Love Jirani na Meeda, Kwa Irene Uwoya na Baadhi hujikita La Chaaz Ijumaa.
5.Wakaka na Wadada Wauza Sura na waomba Bia na hela (Wadangaji)... Hawa wapo maeneo ya Beach Kidimbwi na Kwa Christabela Mwingira Nyuma ya Mapambano Primary.
 
Duu hatari saaana, mil. 3 kwa game la siku moja. Huku mikoani milioni mil.3 inatosha kulipia gharama za mahari hadi ndoa. Mwambie jamaa yako asirudie kuelekeza kwenye matumizi yasiyo na tija.
usimpangie mtu na Pesa yake,hauwezi jua anayo kiasi gani ,pengine hiyo milioni tatu kwake ni ela ya madafu tu,anaitoa kama vile ananunua vocha,hatufanani kama alama za vidole
 
Yani hata kuja likizo mgogoro, unaweza kutaka kujikumbusha viwanja vyako, ukakuta vimebadilika mpaka unaona si viwanja unavyovijua tena.

Nilirudi kipindi hapo Mori kuna place imejengwa next to Checkpoint hapo, yani Dar yangu mwenyewe nimekuwa kama mgeni.

Wadogo zangu wakawa wananitembeza, nikawa nataka kushuka Kinondoni kwa Manyanya ku surprise visit some family, wananiambia hapa kushuka saa wewe mgeni na vi backpack hivi mgogoro, watu wanaweza kuona nafasi.

Nikasema hapa nahitaji crew, maana unaweza kutembea mitaa ukafikiri hii ni mitaa ile ile ya 1997, ukajikuta ume boogie step umekanyaga miwaya sehemu tofauti.
 
Mabadiliko ni makubwa sana..
 
Wanawake wa bongo movie Malaya hawa,huyu wa clouds kuna jamaa yangu kapiga kwa milioni 3
Watangazaji,waigizaji,wasanii na wanasiasa wote wa kike Tanzania ni Malaya so,wanafanya umalaya kwa mgongo wa sanaa au siasa!
 
Dunia simama nishuke!
 

How often do you go back?

Manake mi sasa hivi nikikatiza mitaa hiyo haipiti dakika bila mtu kutaja jina langu na kunisalimu!
 
How often do you go back?

Manake mi sasa hivi nikikatiza mitaa hiyo haipiti dakika bila mtu kutaja jina langu na kunisalimu!

It has been a scandalously long time. Part of the challenge is, almost the entire fam is coming this way.

So I was planning to entertain the thought of going this summer, but at the same time some close fam came this way, so I will wait to see them first.

Having said that, the Kangi Lugolas of TZ would encourage a vacay in Turks and Caicos, Jamaica or Barbados before a sojourn to Upanga,Oysterbay, Kisarawe or Kayenze anytime soon.

Hizo za kutajana majina zinanikumbusha last time I was there, first time nafika Mlimani City, mara nasikia mtu ananitaja jina langu at the top of his voice.

Anatangazia jamii nzima pale "mnamjuaaa huyu mtu? Mnamjua huyu pioneer?" Yani jamaa alikuwa kama kaona mzuka wa mtu ambaye hajategemea kabisa kuonana naye, yani kama kulitakiwa kuwa na bills zimeandikwa "Kiranga atakuwepo hapa leo".

I was caught up between being embarrassed and feeling proud that people still know my name in Dar after all the years.I hadn't gone back to Dar for about 10 years by then, and I was a kind of secluded hermit for the last few years even before leaving Dar for Gotham.
 
Having said that, the Kangi Lugolas of TZ would encourage a vacay in Turks and Caicos, Jamaica or Barbados before a sojourn to Upanga,Oysterbay, Kisarawe or Kayenze anytime soon.

This Lugola character has me concerned a little bit. Not shook. Just a little bit concerned.

But screw him. He ain't gonna do shit.
 
This Lugola character has me concerned a little bit. Not shook. Just a little bit concerned.

But screw him. He ain't gonna do shit.
I was watching Azam tonight, the ministry spokesperson was categorical in reassuring citizens that genuine travelers ought not to be concerned. He went to a great deal of explanation to point out that they are focused on human trafficking, and as long as one has all ones' papers in order, one shouldn't be concerned.

Of course having all ones papers in order could be a tall order, even for jet set globetrotters.
 

But what is 'genuine travelers' to them?

Do we have to walk around with our tax returns, workplace key fobs, and the like?

Anywho, we'll see.

With the amount of travelling that I do I guess I don't have to worry as much.

But then again you never know with these fools.
 
Million 3! Jamaaa yako boya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…