Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

It's ridiculous. The calumnous chicanery and charade of chimeric characters.
 
Wanawake wa bongo movie Malaya hawa,huyu wa clouds kuna jamaa yangu kapiga kwa milioni 3
Jamaa yako itakuwa alikuwa mlimbukeni na mwenye mchecheto.

Way back, kuna jamaa yangu alikuwa anafukuzia gigy money kabla hata hajazaa.

Jamaa ikawa anakwenda element na kukaa vip, anaagiza bia ya gharama lkn bia inawezwa nyweka saa moja kwa chupa nzima huku akidance taratibu na iphone yake.

Sasa kwakua viwanja vile gigy yupo sasa, wakawa wanakutana za uso, siku ya kwanza gigy hakupokea salam. Lkn as days goes wakaanza kuzoeana na kupeana hi.

Ya mchizi full kufake maisha, anaingia na ist yake mida ya 8, anachukua Heineken anaingia vip ya pale iliyo wazi yenye body guard. Akiingia anamkuta gigy kakalia kachizika na wana wake. Ikafika kipindi akazoeana na wana mpk akaonekana ni team moja.

Sasa bhana, siku gigy katimuana na mchiz wake ikawa kama soo hivi, nakumbuka tulikuwa wote, jamaa ikabidi awaamue na kuwatenganisha. Mchizi wa gigy akaamua kusepa na kumwacha gigy.

Gigy kaingia kapanda zake kule juu, jamaa ikabidi amfate na kuanza kumpooza asiwe na hasira. Mida ya 11 hiyo gigy anataka kuondoka, alikuwa hana usafiri. Ikabidi jamaa aniache na kumpa lift mtoto hadi kwake, ndipo akaanza kumfaham, na gigy alivyokuwa chizi akawa anamwaga mambo ya mchizi wake kwa jamaa wakiwa wanaelekea kwake, gigy kafura na pombe kichwan.

Jamaa kumfikisha gigy gheto kwake, kamu escot kwa kumshikilia huku gigy km analia hv.

Kamwingiza gheto na kumlaza na kumwacha.
Mchana gigy anampigia sim jamaa kwa kumshukuru afu anamfagilia kwa kutomfanya chochote kwani km angeamua angemgegeda vzr tu.

So ukaribu ukawa hapo, bwana we siku jamaa anapigiwa sim na gigy yupo wapi anamwambia gheto, gigy anamwambia nataka nipajuee.

Siku anapajua ndo siku jamaa anatekeleza ahadi yake. Mana zilipigwa savana na Grant za kutosha na kuhalalisha amri ya 6.

Lkn tangu siku hiyo hakuwahi tena kupiga yule dem, mana alimwambia nilivurygwa tu siku ile nikaona nije tu shares so usifikiri nina mapenzu na ww. Jamaa akaona poa tu.

So hizi manzi za bongo muvi ni kuzilia timing tu, unaweza wapa vitu vidogodogo na care za kihuni, akakuzawadia papuch kiroho safi.

Sasa unahonga papuch 3M, imekuwa kiwanja??
 
So jamaa yako ali spent like how much ?
 
So jamaa yako ali spent like how much ?
Sidhan hata km 200k inafika.

Kozi club alikuwa anaenda siku ya ijumaa na Jmosi. Akipiga Heineken zake mbili tatu anasepa. Uzuri uwe mtu wa pamba afu huna shoboshobo, utaonekana classic.

Hakuwahi mpa gigy hata 10
 
Haaahaaa...una mzux na mibangi?
Hapana wity,ni vile mjamaa life style yake akiwa kwa micamera napenda sana ukija nlianza kumfatilia ule wimbo na Destiny Child am soldier,Dwayne namuelewa sana yeye na baba yake Baby "Birdman"
 
Eti halafu nategemea kuja kuishi Dar kumbe watu wenyewe waoga kama nini... We umesikia milio badala ya kupunguza urefu ukaenda kuangalia nini kinajiri... Umejificha kwenye mapaja ya mdada unatuuliza sisi wa Visiwani huku... Mda wowote naweza kupanchi uhamisho kwa dalili hizi mtakuja kuniambukiza magonjwa ya uwoga.
 
Duh! Mkuu umeuwaaa haki wewe ulishawachapa sana hao wakaka poa.
 
Siku moja katika matembezi na jamaa mmoja kaamua kunichukua saa sita usiku kunipeleka kunitembeza Bururuni... Sasa kuna kichochoro akanipitisha akanambia kuna jamaa naenda iumsalimia,... Sasa kwenye kichochoro alichonipitisha hakunambia kwamba kuna malaya.. Basi ile tunapita tu nikaona wadada wananishika mkono na kunibusu nilikasirika na kutaka kurusha ngumi... Sasa jamaa tulipofika mbele akacheka na kunambia wale ni malaya achana nao... Sasa nikamuuliza kwanini wanafosi akanambia wale wanajua tunaenda kuwanunua ndio maana wanajaribu zari... Hadi leo niliapa kwenda tena maana mimi na wadada poa ni tofauti sana kabisaa.
 
Asee nimekukubali, kwa love pale meeda nilikua na kunywa sana na mdg wake light ,..beach kidimbwi na waungwana sikuwahi kupapenda sana

Gigy money nimemfahamia hapo kwa love ,..nimekubali list yako
 
Hapana wity,ni vile mjamaa life style yake akiwa kwa micamera napenda sana ukija nlianza kumfatilia ule wimbo na Destiny Child am soldier,Dwayne namuelewa sana yeye na baba yake Baby "Birdman"
Ok ok my nimekupata...mi sipendi ma hard core

Weezy naona ka kichwa kimechemka!

Daah mshua Birdman anamdate Mbibi Toni Braxton
 
Hili ni jibu langu kila mnapomuulizia kwangu. Kama unasaka mtu wa kumnukuu kwa kuwa huna kazi ya kufanya basi kwangu umekosea..

Nenda kwake kagonge hodi umsalimie
Haya UKOME KUMSHOBOKEA... Mwenzako analea saa hizi.
 
Mkuu life vipi huko? Upo nchi gani?
 
Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni
Mbona nimepita maeneo hayo mda si mrefu sijaona wala kusikia tukio lolote
Au limetokea baada ya mm kupita
 
daaaah kwaiyo gigy[emoji14] akatoa papa mkuu [emoji13] [emoji13] jamaa yako nae mkali wa kujibrand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…