Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

hyo milio inaitwa ANT LAG au kwa lugha nyepesi ni BACKFIRE ... kuna mchizi wangu ana evo 6 lancer gari yake ikipiga antlag utasema mabomu kila siku anaitwa kwa balozi majirani zake wanamshtaki kwa kelele 😂😂
 
hyo milio inaitwa ANT LAG au kwa lugha nyepesi ni BACKFIRE ... kuna mchizi wangu ana evo 6 lancer gari yake ikipiga antlag utasema mabomu kila siku anaitwa kwa balozi majirani zake wanamshtaki kwa kelele [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…