Nasikia Msimu ujao wa NBC Premier League Mechi yao na Ihefu FC Wataomba ianzie Dar na ya marudiano isifanyike kabisa 'Highlands Estates' Mbarali

Nasikia Msimu ujao wa NBC Premier League Mechi yao na Ihefu FC Wataomba ianzie Dar na ya marudiano isifanyike kabisa 'Highlands Estates' Mbarali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sababu Kuu ni kwamba huwa wanatuharibia Mipango yetu na kutuanzishia Nuksi huku Wakitudhalilisha Watu wazima.

Kudadadeki......!!
 
Ndugu zangu humu jukwaani, kwa umoja wetu tumchangie nauli huyu kijana wetu ilo aweze kusafiri kwenda Lutindi Tanga kuchukua dawa zake. Nadhani wote mnafahamu fika changamoto anazopitia kwa muda sasa.

Mimi kama Tate Mkuu naahidi kumchangia buku 2 (2000).
 
Back
Top Bottom