Ndugu zangu humu jukwaani, kwa umoja wetu tumchangie nauli huyu kijana wetu ilo aweze kusafiri kwenda Lutindi Tanga kuchukua dawa zake. Nadhani wote mnafahamu fika changamoto anazopitia kwa muda sasa.
Mimi kama Tate Mkuu naahidi kumchangia buku 2 (2000).