FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Mar 1, 2016 #1 Kuna fununu nimezisika katika siku za karibuni kuwa mlima Kenya upo Arusha Kaskazini. Kuna Mwenye udhibitisho Wa hilo?
Kuna fununu nimezisika katika siku za karibuni kuwa mlima Kenya upo Arusha Kaskazini. Kuna Mwenye udhibitisho Wa hilo?
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Mar 1, 2016 #2 Hawa wakenya naona wanataka kutupanda kichwani sasa. Siku si nyingi utasikia hata magufuli ni wao.
D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,465 Mar 1, 2016 #3 Mhh!, mara tutasikia "MKE wangu anaishi ndani ya NYUMBA YAKO!!" hapo sasa ndpo maswali hayataruhusiwa kuwepo
Mhh!, mara tutasikia "MKE wangu anaishi ndani ya NYUMBA YAKO!!" hapo sasa ndpo maswali hayataruhusiwa kuwepo