Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Nitajie faida za Mwenge?Mnapenda sana kutafuta uchawi wakati tatizo ni ujinga wenu tu.
Yani hata mnapotafutia tatizo liko wapi ni tatizo bado.
Kwani wapi nimesema mwenge una faida?Nitajie faida za Mwenge?
Acha ujuaji we mzee wa Ulaya.Kwani wapi nimesema mwenge una faida?
Umeelewa hoja yangu?
Au unaleta logical non sequitur fallacy tu?
Kuna sehemu nimesema mwenge una faida?
Nini faida ya kukimbaza moto nchi nzima?kwa kukusaidia ukweli ni kwamba kuna uchawi na matambiko ya style mbalimbaliWw mtoa mada nae fala tuu, upumbavu wa watanzania kutokujitambua ww unakuja kusingizia mwenge 🗑️