Nasikia nchini Afghanstan Polisi na Jeshi wameongezewa mshahara kuelekea tukii kubwa la mwisho wa mwezi

Nguvu ya umma iko palepale. Wasaliti hawakosi wakutuunga mkono hata kimyakimya kutoka huko jeshini na polisini.

Mungu simama na sisi watu wako tufe katika kulipambania taifa letu na watoto wetu. .

Naombeni mniachie Msigwa.
 
Wanajuana wenyewe huko, sisi bado tupo bize kuwazoom hawa wapasua tofari kwa ugoko wa nchini kwetu.
 
Kwa hiyo, wananchi wa Afghanistan wanatolewa kafara hkwa kuongezea wanajeshi na polisi mishahara. Sad!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…