Nasikia raha sana Man U akifungwa

Nasikia raha sana Man U akifungwa

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kuwa kwenye rank ya kukusanya kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.

Mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa. Mimi ni shabiki wa liverpool... kwangu man U na Real madrid wakifungwa hua najisikia faraja sana

Wewe je unashabikia timu gani? Na timu gani hupendi ipate matokeo mazuri?
View attachment 1683800View attachment 1683801View attachment 1683802
 
jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kua kwenye rank ya kukusana kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.

mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa.
mimi ni shabiki wa liverpool...kwangu man u na real madrid wakifungwa hua najisikia faraja sana

weww je unashabikia timu gani? na timu gani hupendi ipate matokeo mazuri?
View attachment 1683800View attachment 1683801View attachment 1683802
Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu ndo juzi alikua na hali hii
1611259329760.gif
Numbisa unaitwa huku 😂😂
GGMU

#juuyameza
 
Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe mwenyewe uandishi wako kama huyo jamaa. Nyani haoni kundule.
 
Siku anapigwa sita halafu Livakuku siku hiyo hiyo anakula wiki nilikuwa na furaha kuu
 
Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
unashabikia man u?
 
Back
Top Bottom