Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kua kwenye rank ya kukusana kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.
mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa.
mimi ni shabiki wa liverpool...kwangu man u na real madrid wakifungwa hua najisikia faraja sana
weww je unashabikia timu gani? na timu gani hupendi ipate matokeo mazuri?
View attachment 1683800View attachment 1683801View attachment 1683802
Wewe mwenyewe uandishi wako kama huyo jamaa. Nyani haoni kundule.Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]