Nasikia raha sana Man U akifungwa

Siku anapigwa sita halafu Livakuku siku hiyo hiyo anakula wiki nilikuwa na furaha kuu
hii siku japo liverpool alifungwa saba ila kipigo kilipozwa na man u
 
Mimi is siku kadhaa liverpuru anazotiwa nmeongeza kilo mbili kabisa
 
Mimi nikisikia Yanga au Barcelona imefungwa.
Huwa napata furaha sana na Amani ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…