u know very well i cant do that Mr. Rock. nakula kwa macho tu hata Maria anajua hiloKwani ulikuw ana muda gani hujaonana nae
na je kwa muda huo wote hujacheat
hujatamani
hujakiss
u know very well i cant do that Mr. Rock. nakula kwa macho tu hata Maria anajua hilo
Basi kama wewe kweli hujacheat, Maria yeye ameshacheat mara kibaooo. Kalagabaho!!u know very well i cant do that Mr. Rock. nakula kwa macho tu hata Maria anajua hilo
hahahahahaha..utapigwa risasi weyeBasi kama wewe kweli hujacheat, Maria yeye ameshacheat mara kibaooo. Kalagabaho!!
thank uKama ni kweli ulijiwekea speed govenor ni bora sana
Mpe heshima yake mwenzako na shukrani sana kwa uvumilivu huo
u know very well i cant do that Mr. Rock. nakula kwa macho tu hata Maria anajua hilo
asante mkuu. ni ndoa tena halali kabsaa. hata baba mtakatifu ameridhia na kunibarikikaribu mkuu
Jitunze hivvyo hivyo na heshimu ndoa yako au uchumba wako
najaribu tu mkuu. kila siku napiga sala na kuomba Mungu aniepushe. Najipa vikazi kibao wakati wa leisure. Nampa hongera mchumba wako piaLuck maria...ingekua wanaume wote waaminifu kama wewe na mchumba wangu..UKIMWI ungeisha kabisaaa.
asante mkuu. ni ndoa tena halali kabsaa. hata baba mtakatifu ameridhia na kunibariki
Hivi Kwani ni lazima m2 kuaga ktk jamvi kwa kila kitu? kwani uwepo wa m2 mmoja au kutokuwepo kunawaathiri nini ktk jamvi. Huu naona kama ulimbukini vile?
Kuna somo katoa unless hujamuelewa..
asante mkuu. nadhani tunahitaji wengi kama weweMkuu naona Likwanda hajapata ujumbe hapo ndo maana
Na ujumbe uko wazi kabisa na nia sio kuaga
maana hakuna mtu anayemuaga mwenzake hapa
Ukichoka unajiondokea kimya kimya hata mwaka hakuna atakayekutafuta may be wale watu wako wa karibu
asante mkuu. nadhani tunahitaji wengi kama wewe
samani Likwanda kama nimekukwanza. hata hivyo kwani kuwaaga wapendwa kuna tatizo gani?Hivi Kwani ni lazima m2 kuaga ktk jamvi kwa kila kitu? kwani uwepo wa m2 mmoja au kutokuwepo kunawaathiri nini ktk jamvi. Huu naona kama ulimbukini vile?
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!