samani Likwanda kama nimekukwanza. hata hivyo kwani kuwaaga wapendwa kuna tatizo gani?
Pole sana mkuu, umeonesha ustaarabu mkubwa sana hii inanifanya niamini kile ulichopost kinatoka moyoni na sio kupoteza muda, pia nawashukuru sana wote waliochangia kwa kuni quote pia wameonesha ustaarabu mkubwa sana. Kila la kheri msalimie shem na familia yote.
hujaacha uchozi tu halafu under 18 kibao humu siku hizi lazima kidogo kuficha mambo. namaanisha my lovely sweetheart!hapo kwa buluu, unamaanisha mpenzio/mwenza? for a second i wanted to say 'oh,there goes mommy's buoy!'
Pole sana mkuu, umeonesha ustaarabu mkubwa sana hii inanifanya niamini kile ulichopost kinatoka moyoni na sio kupoteza muda, pia nawashukuru sana wote waliochangia kwa kuni quote pia wameonesha ustaarabu mkubwa sana. Kila la kheri msalimie shem na familia yote.
i knw the sufferings u r going thruni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
asante, halafu wewe?????? ukirudia ntakuchapa.i knw the sufferings u r going thru
manake mimi jana nilifikia pabaya zaidi yako
iwe iwavyo ila nenda kamuone usije ...................
oohh coming home tell the world your coming home....gonna miss u anyway
koma!!!!!!!Nikaribishe basi unipe substution.
I'm coming home to your loving heart
Till the one that I was
True way and broke apart
I want you I need you
A chance is on I'm asking now
I must get back to you so now
So I am coming home to you
'Cause I am nothing without you
May be you found somebody new
'Cause I'm still coming home to you
Please let me stay and forget your pride
Now my world is falling round
I got know when behind
I want you I need you
I know with true I made you cry
Then like a fool I say goodbye
Now I am coming home to you
Yes I am nothing without you
May be you found somebody new
But I'm still coming home to you
will miss you too pal.
i knw the sufferings u r going thru
manake mimi jana nilifikia pabaya zaidi yako
iwe iwavyo ila nenda kamuone usije ...................
i will for sure. thanksMfikishie salamu zetu!
Kuna kitu kimoja huwa napenda kusema especially kwa watu ambao walio kwenye mahusiano kila siku jifunze jinsi ya kumjali mwenzako ili siku akiondoka usije ukijilaumu na kuanza kusema why i didn't do this or that tujifunze kuheshimiana , kuvumuliana, kusameheana, kumshukuru Mungu kwa kila jambo mwenzako analokufanyia hata na ikiwa ni dogo kiasi gani, tujifunze kushukuru kwa kila kambo analokufanyia katika maisha yako ya kila siku.ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
Siamini haya mabusara yanatoka kwako...isijekuwa mbu au MJ1 anatumia ID yako!...kumbe ukiamua unaweza?... Barikiwa kwa maneno yako mazuri ya kufungulia wikiendi!Kuna kitu kimoja huwa napenda kusema especially kwa watu ambao walio kwenye mahusiano kila siku jifunze jinsi ya kumjali mwenzako ili siku akiondoka usije ukijilaumu na kuanza kusema why i didn't do this or that tujifunze kuheshimiana , kuvumuliana, kusameheana, kumshukuru Mungu kwa kila jambo mwenzako analokufanyia hata na ikiwa ni dogo kiasi gani, tujifunze kushukuru kwa kila kambo analokufanyia katika maisha yako ya kila siku.
Hahaha!! Lol Ubarikiwe sana na wewe uwe na wikiendi njemaSiamini haya mabusara yanatoka kwako...isijekuwa mbu au MJ1 anatumia ID yako!...kumbe ukiamua unaweza?... Barikiwa kwa maneno yako mazuri ya kufungulia wikiendi!