kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Tatzo siyo hela ndugu, tunaangalia profile apo tyr kajichafulia CV. Siku nyingne hawez pata show uganda.Hela hakupewa?
Tatzo sito punga kaka je hajajichafulia CV unafikiri ataitwa tena kufanya iyo showLakini yeye mpunga wake si aliupata toka kwa promota?
Unajua kule zarina atakuwa kaharibu. Lkn wakiliconcile nae atajaza kama kawaTatzo sito punga kaka je hajajichafulia CV unafikiri ataitwa tena kufanya iyo show
Ndo maana raia tunamshauri maswala ya mapenzi na maisha yake private ayatofautishe na kazi......Unajua kule zarina atakuwa kaharibu. Lkn wakiliconcile nae atajaza kama kawa
Za kusikia changanya na za kwako!!Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.
Ebu tafakari ii qoute butu, ndo uwajue watanzania inasikitissha kwa kweli,...Tatzo siyo hela ndugu, tunaangalia profile apo tyr kajichafulia CV. Siku nyingne hawez pata show uganda.
WATU WENGINE WALITAKIWA WAZALIWE AFGHANSTAN AU SOMALIA. SASA KINACHOKUWASHA WEWE NI NINI KUMBE HATA PICHA HUJAZIONA UMEKULUPUKA NA CHUPI YAKO KUJA KUANDIKA UPUUZI HAPA!! UMBEA NI TABIA PIA!!Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.