Nasikia show ya diamond jana usiku kule uganda imebuma vbaya mno

Tatzo siyo hela ndugu, tunaangalia profile apo tyr kajichafulia CV. Siku nyingne hawez pata show uganda.
Peleka roho mbaya mbelee uko...we umeingiza how much kwa hii habari yakipuuz????

Watanzania watu wa ajabu sana yan wanapenda watu ote wawe masikini
 
Peleka roho mbaya mbelee uko...we umeingiza how much kwa hii habari yakipuuz????

Watanzania watu wa ajabu sana yan wanapenda watu ote wawe masikini
HUYU KIFIMBO CHEZA ANA WIVU KAMA MCHAWI
 
Sawa imebuma ulikua unasemaje sasa, tukusaidie nini wana jf
 
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.

Iwe mbaya iwe nzuri yy tayri kalipwa chake mapema sana
 
Watu mnavichambo kama waimba taarabu au kuna isha mashauz humu asee mada mmeianzisha wenyewe mnaiverify wenyewe afu mnajifanya kushauliana achen ujinga

Mond always ni man of the match hajawah kukosea show by the way siku hiz tunafanya movies no more shows
 
Afu kuna raia hadi mnatia huruma kwa mnachondika yaan show mnahudhuria za harus tu fu mnakuja kuchambua show kubwa kihorera
 
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.

Hayaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji95][emoji95] in [emoji1254][emoji485]

Kumekucha!!kumekucha!![emoji108][emoji106][emoji112][emoji120][emoji121]️
 
WATU WENGINE WALITAKIWA WAZALIWE AFGHANSTAN AU SOMALIA. SASA KINACHOKUWASHA WEWE NI NINI KUMBE HATA PICHA HUJAZIONA UMEKULUPUKA NA CHUPI YAKO KUJA KUANDIKA UPUUZI HAPA!! UMBEA NI TABIA PIA!!
Mbona kama ugomvi iv
 
Show mbovu kuwahi kutokea utafikiri anaimba msiban.
 
Wacha tu kimuendeshe. Akianza kuwa kama kina Mr nice.
Akili itamkaa sawa.
 
Daaah waganda siyo watu wa mchezo mchezo wamegoma kabisa kuhudhulia show ya domo, na walioenda wanaiponda vbaya mno kuwa ilikuwa ni show mbovu kuwahi kutokea.....mwenye picha zaidi atusogezeee.
Acha umbeya na wivu utakufa kabla ya umri
 
Huyu jamaa emu kafatilie ...mangi kimambi atakuwa kakupa hizo habari...fatilia au upo tandahimba nini
 
WATU WENGINE WALITAKIWA WAZALIWE AFGHANSTAN AU SOMALIA. SASA KINACHOKUWASHA WEWE NI NINI KUMBE HATA PICHA HUJAZIONA UMEKULUPUKA NA CHUPI YAKO KUJA KUANDIKA UPUUZI HAPA!! UMBEA NI TABIA PIA!!

Mtoa post mwenyewe Hana uhakika ndo mana akasema eti nimeskia bla bla bla , Bora umchane mkuu
 
Yaani kuna mijitu tena watanzania hua wanafurahi wenzao wanaposhindwa badala ya kusupport lakini yenyewe yanafurahia mtu anaposhindwa tena mzawa wao.
Maana hata post inaonekan kama umefurahi yeye show yake kubuma.
Hatutaendelea Kwa staili hizi aisee, usifurahishwe na kushindwa Kwa mwingine utakuja zikosa baraka na kwa hali hii baraka nyingi utazikosa mkuu. Msupport mzawa boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…