Kichwa cha chini kinamuendesha sana mdogo wng
Kwani mm nimefurahishwa au nimesema kilichotokea kuna ubaya gani apo......tatzo hatupendi kusikia ukwl.Yaani kuna mijitu tena watanzania hua wanafurahi wenzao wanaposhindwa badala ya kusupport lakini yenyewe yanafurahia mtu anaposhindwa tena mzawa wao.
Maana hata post inaonekan kama umefurahi yeye show yake kubuma.
Hatutaendelea Kwa staili hizi aisee, usifurahishwe na kushindwa Kwa mwingine utakuja zikosa baraka na kwa hali hii baraka nyingi utazikosa mkuu. Msupport mzawa boss.
Kaka kuna ubaya wwt kusema ukweliAisee!! Yeye hajatuwekea picha hata moja ila anatuambia mwenye picha zaidi aweke. Tuko Bongo Bahati Nzuri.