Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi.
Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi.
Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa radi sababu umeme wa radi unaweza kusafiri kwenye wire.
Unamaoni gani?