Tetesi: Nasikia Simbachawene ameambiwa apige jeramba kuna sub inafanywa

Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
Kama kuna jambo unataka umma ulijue, liweke wazi. Kinyume na hapo inakuwa si sahihi kwa wasomaji
 
Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
nonsense 🐒
 
Mimi kama mlipa kodi na pia Mtanganyika kutoka Tanga, nadhani hii taarifa yako hainisaidii chochote.
 
Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
🤣🤣🤣 mchezaji bado anaona anapumzi anaweza kuisaidia timu
 
nonsense 🐒
nakubaliana na wewe kwa mara ya kwanza toka nikufahamu hata kama hatuipendi ccm ila nyuzi za namna hii sio sahihi. hapa anamzungumzia nchimbi probably sasa kuna haja gani za kuleta taharuki za mauwaji ya vp?
 
mtu pekee ambae rais hawezi kumuondoa bila kuigusa KATIBA NI WENGI ILA MOST PARAMOUNT NI MAKAMU WAKE SASA TUSILETE TAHARUKI HIZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…