Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
Kweli... Namchukia sana tabia za kuficha ficha vitu wakati JF ni darasa huru kuliko hata UDOM!
Mtu sema tu ukweli Wazanzibari hawamtaki Nchimbi... Lakini ni bora Nchimbi kuliko yule Simba!
Kifupi mpasuko unazidi kuenea ndani ya ccm. WaTanganyika wameamka kutoka usingizini!