georgei Senior Member Joined Oct 14, 2009 Posts 110 Reaction score 8 Dec 8, 2012 #1 Wadau naomba kujuzwa kama kweli hawa wajamaa TPDC wameshaita watu kwenye interview za kazi walizotangaza mwezi wa 6 2012
Wadau naomba kujuzwa kama kweli hawa wajamaa TPDC wameshaita watu kwenye interview za kazi walizotangaza mwezi wa 6 2012
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Dec 8, 2012 #2 kweli wameita kaka! mimi mwenyewe wameniita!