Nasikia unaweza kukonda, kama wewe utafanyaje?

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Umeanza kuimiliki sio muda mrefu Speed yake usipime, ni mchakamchaka

unaifurahia lakini unahisi hutakuwa na ubavu wa kuhimili kwa muda mrefu maana kilasiku ndio kwanza kama jana

Hakuna cha milima wala mabonde haijalishi mvua inanyesha wala jua kali ni mwendo tu mradi starter
 
Utakuuwa kama huwezi wachananao, kama ingekua tamu wala usingeikuta tafuta size yako asikutowe roho....
 
vitumbua vingine bila kwenda gym
heshima inashuka lol
 
Unaweka gavana,ila usiweke ya kichina!
 
Mböna kawaida 2,kuna style zake ambazo zitafanya speed ipungue,jamani hamjifunzi?mbona kuna mambo ya 4aplay,unafanya mambo pale Gspot,ukifuatilia mambo haya heshima itarudi mbona cc wana2ng'ang'ania? C kwamambo hayo?tetea uanaume wako kijana..
 
Kwa mara ya kwanza Thread ime-fail ku-communicate na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…