OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali.
Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais lakini inabidi kuacha kila kitu ili kumsikiliza Mheshimiwa Mbowe.
Masikini badala ya kujitunzia heshima yake kama legend wa siasa, leo hii amechagua "gambushi" walipo kina Lipumba. Leo hii Lipumba na CUF hata waongee point gani nani atawasikiliza. Watu wanaona kama wanapiga makelele tu.
Mimi sina risala ndefu, ni hayo tu