OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
MBOWE hajipimi kwamba anapoteza mvuto kila kukicha.Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali.
Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais lakini inabidi kuacha kila kitu ili kumsikiliza Mheshimiwa Mbowe.
Masikini badala ya kujitunzia heshima yake kama legend wa siasa, leo hii amechagua "gambushi" walipo kina Lipumba. Leo hii Lipumba na CUF hata waongee point gani nani atawasikiliza. Watu wanaona kama wanapiga makelele tu.
Mimi sina risala ndefu, ni hayo tu
Mwamba atak kungatukaKumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali.
Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais lakini inabidi kuacha kila kitu ili kumsikiliza Mheshimiwa Mbowe.
Masikini badala ya kujitunzia heshima yake kama legend wa siasa, leo hii amechagua "gambushi" walipo kina Lipumba. Leo hii Lipumba na CUF hata waongee point gani nani atawasikiliza. Watu wanaona kama wanapiga makelele tu.
Mimi sina risala ndefu, ni hayo tu
Hadi wewe umemkataa Mbowe ktk hili!Ndio anajimaliza hivyo.
Nendeni kwenye sanduku la kura acheni kulia lia....Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali.