mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Habari za mchana wa leo chungu ya 6 Ramadhani kwa wenzetu Muslim asalam alykum.
Kesho ni mwisho wa msimu wa ligi kuu ya England, timu zote zitaingia uwanjani. Competitive timu kama Chelsea na spur, Man city na liberpo japo liver hachukui kitu