mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Mechi zote zitakua live, ila mechi nyingi yatakua yanaonyeshwa matukio muhimu hasa zile za top four na zinazo shuka.Kitu kingine tafuta live streaming utaipata mechi uitakayo.Habari za mchana wa leo chungu ya 6 Ramadhani kwa wenzetu Muslim asalam alykum.
Kesho ni mwisho wa msimu wa ligi kuu ya England, timu zote zitaingia uwanjani. Competitive timu kama Chelsea na spur, Man city na liberpo japo liver hachukui kitu
Liverpool S4Habari za mchana wa leo chungu ya 6 Ramadhani kwa wenzetu Muslim asalam alykum.
Kesho ni mwisho wa msimu wa ligi kuu ya England, timu zote zitaingia uwanjani. Competitive timu kama Chelsea na spur, Man city na liberpo japo liver hachukui kitu
Liverpool S4
Tottenham S5
Arsenal S7
Chelsea S8
Man U S9
Man City 10
S.9 ipo vifurushi vidogo. Vibanda umiza byebyeLiverpool S4
Tottenham S5
Arsenal S7
Chelsea S8
Man U S9
Man City 10
S.9 Mkuu.Man u mnagombea nini??????
Kesho tunaangalia
Man city
Liverpool
Ilo takataka utaliona kwenye marudio
Mechi zote hapo ni kwenye kifurushi cha bomba kasoro ya TottenhamS.9 ipo vifurushi vidogo. Vibanda umiza byebye
Nyinyi na Wenger wenu, si ndiyo mlikuwa mnaponda ManUtd kushiriki UEFA kupitia njia hiyooo?Huyu chesy angemuachia asernal ubingwa Europe ili acheze elite league
Liverpool S4
Tottenham S5
Arsenal S7
Chelsea S8
Man U S9
Man City 10
S.5 haipatikanagi, lkn sijui jamaa aliyesema hizi channel asije akawanameingiza watu chakaAsante, Afadhali hapo kwangu ngumu ni hiyo S5