Nasikitika sana Simba ikifanya vibaya analaumiwa Mgunda

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Habari zenu..

Daah nasikitika sana,simba ikifanya vibaya analaumiwa mgunda,simba ikifanya vinzuri anasifiwa robertinho..

Simba wenyewe mlimfuata wenyewe mgunda kumuomba awe kocha wenu wa mpito,tena mkamtoa kwenye timu yake alipokuwa anafundisha.

Inasikitisha sana,kama leo kila redio inamsema mgunda yani sio powah,najiuliza kipi mgunda unang'ang'ania simba?

Kwanini unajipa presha siuachane na hao majedwali fc.

Mgunda wewe haukosi timu haoa tanzania tena kuwa kocha mkuu,sio kila kukicha unageuzwa mbuzi wa kafara..

Alafu mgunda timu ikipoteza usicheke cheke ovyo kuna mashabiki wanajiuliza unafurahi simba wakifungwa??

Mgunda imefika mda sasa uachane na hao kufa ukiume fc..
Ni bora wale maharage kwenye amani kuliko wali nyama kwenye vita.
MGUNDA MGUNDA MGUNDA..
DAAH UNATIA HURUMA SANA
 
Huyo Mgunda analaumiwa kuhusu nini tena na wakati kocha mkuu ni Robertinho?
 
MAKOLO wapo vizuri kuwatafuta wachai[emoji23][emoji23] walianza na

Kibu

Boko

Chama

Saizi mgunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…