Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Endelea kusubiria.Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo.
Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
Weka hapa picha ya card ya mchango tuone ulitoa dollars ngapi ili tujue uhalali wa kilio chako.Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo.
Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
Mkuu ningeweka hapa hiyo card ya change lakini nahofia utakuta na presha cardiac arrest ukiiona ukizingatia wewe ndie mshindi wa mkate pekee sole bread winner kwenye ukoo wako.Weka hapa picha ya card ya change tuone ulitoa dollars ngapi ili tujue uhalali wa kilio chako.
Yani bwashee wee acha tuPole bwashee
Mkuu ningeweka hapa hiyo card ya mchango lakini nahofia utakuta na presha cardiac arrest ukiiona ukizingatia wewe ndie mshindi wa mkate pekee sole bread winner kwenye ukoo wako.