Nasimama kumuombea msamaha Moses Phiri

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Wakuu salaamu

Najua kuna watu wa karibu na kocha wa Simba sc, hivyo ujumbe huu utamfikia. Ni hivi Phiri ana kitu na ili afike mbali apewe mechi tatu mfululizo ili kumpa confidence.

Sisi wanaSimba bado tunamkubali Phiri kwa kuwa hata historia yake inambeba.

Natanguliza shukran

Simba Nguvu Moja
 
Kocha wa simba ROBATINYO anapitiaga humu JF kusoma Soma nyuzi bila shaka atasoma tu huu uzi na ataufanyia kazi .. ujue phiri ni mtu kweli na mechi Kama ya leo angekuwa anamaliza kazi yaani angejipatia hata goli 1 na lile yangekuwa mawili
 
Hajapona vizuri ni majeruhi yule.
 
Hakuna cha ajabu hapo,ni kwamba hawezi kwendana n mfumo wa mwalimu
 
Kwa sasa Simba ina uhaba wa wachezaji wenye quality ya kimataifa, wamekuwa kama Arsenal!

Boko, Saido, ni tatizo. Chama, ni slow sana kwenye michezo ya kuamua game.

Onyango, umri unamtupa mkono, kasi itamuua uwanjani.

Kocha ana uwezo sana wa kutumia wachezaji waliopo ILA apewe wachezaji anaowataka.

Kitendo cha kumtumia NYONI kuidhibiti YANGA ni uwezo uliotukuka ambao wengi au wote hatukuuona, mbinu za kimedani.

Kwa Wydad, wakicheza hivi na kuruhusu wale wehu kujiangusha angusha, KIPA asiyeweza kudaka wala kupunguza goli, basi mwisho umefika!

Job well done Simba.


Yanga, endeleeni kuwategemea mafisadi kununua ligi na mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…