Nasinzia nikiwa nimekaa kwenye kiti

Tumbo kujaa gesi
Moyo kwenda mbio

Je,Umepima vidonda vya tumbo
Je unakunywa pombe

Moyo kwenda mbio Umepima presha
Una umri gani
Ke au me
Tuanze hapo kwanza
 
Anza kukaa kwenye moto !hutasinzia tena
 
Jaribu kuangalia hormone ya thyrod...yenye kusabibisha kuvimba tezi shingoni
 
Tumbo kujaa gesi
Moyo kwenda mbio

Je,Umepima vidonda vya tumbo
Je unakunywa pombe

Moyo kwenda mbio Umepima presha
Una umri gani
Ke au me
Tuanze hapo kwanza
Nshapima presha mkuu, sina, ila madonda tumbo sijapma
 
Pole sana mkuu. Kuna uwezekano mkubwa ukawa na upungufu wa haemoglobin/ red blood cells kwenye damu yako kitu kinachopelekea usafirishaji wa hewa kwenye mwili wako kuwa hafifu. Cha kufanya, anza matumizi ya vidonge vya kuongeza damu aina ya FEFOL, Pia tumia vidonge vya kuongeza Vitamin B complex mwilini mwako... Na kama unachoka kunywa angalau Azam engery au Mo energy moja kwa siku hasa nyakati za mchana.
 
Asante Mkuu, vidonge vya fefol vinauzwa pia maduka ya dawa?
 
Mkuu nimeulizia vidonge vya fefol lakini sijavipata hebu nielekeze jina jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…