gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Habari yenu wote humu,
Hivi karibuni nimeona andiko moja lisemalo 'yanga wanamuhitaji mtu kama Haji Manara'. Nimesikitishwa na mwandishi aliyeandika andiko hilo kwani ameandika kishabiki bila kufikiria. Nadhubutu kusema mwandishi yule anafikiri mpira unachezwa kwa social media kama instagram! Nikija kwenye point moja kwa moja, yanga ni club kubwa sana hivyo nafasi yoyote ndani ya yanga inahitaji mtu mwenye uwelewa wa hali ya juu sana na strategic thinker.
1, kwanza nadhubutu kusema watu wanashindwa kujua nini maana ya msemaji wa club au information's officer wa club! Kwa kifupi huyu ni nembo ya club, huyu anarepresent club outside! huyu kazi yake sio kupiga porojo kwenye social media kama Haji Manara au kufanya taarabu kama afanyazo Manara. Information officer yoyete wa club kazi yake kubwa ni kuhakikisha informatins about the club zinawafikia walengwa ipasavyo na in right time.
2, Naomba niseme haji amefanikiwa kutengeneza personal brand sio brand ya club ya simba, naomba tujue tofautisha vitu hivi viwili. Brand ya timu inatengenezwa na performance ya team sio porojo kwa social media. Haji amefanikiwa kuitumia brand ya simba kutengeneza jina lake, hili tunamsifu kwani hakuna aliyekuwa anamfahamu Haji kabla lakini club ya simba ilikuwa inafahamika
3. Hakuna asiyejua kwa sasa club ya simba wako juu financially, na wamefanikiwa kuijenga timu yao vizuri sana huwezi fananisha na club kama Yanga. Haji kama information officer wa simba anatakiwa atambue huu sio muda wa kupiga taarabu instagram bali ni muda kutumia mwanya huu kuweka mipango endelevu kwa club yake (kutengeneza long term strategic plans kuimprove informations flow klabuni, lakini yeye kuchwa kushinda instagram
4. Yanga now ipo low hatuhitaji MTU kama Manara wa kupiga porojo! Yanga inahitaji strategic thinkers wakutengeneza operational tactics za club. Tunahitaji watu kama kina D10 sasa kusaidia mifumo ya uendeshaji club yetu kwa baadae. D10 alikuwa alikuwa anajitahidi sana kutengeneza mfumo ambao hata angeondoka yanga ungeendelea fanya vizuri dispite challenge zilizopo
5. Hebu Tujiulize swali hivi Leo Haji akiondoka simba what will happen? Hakuna cha maana kitachobaki. Itakuwa kama sisi Jerry alikuwa anaongea sana lakini umeona kaondoka hakuna la maana kalifanya na kelele zetu zimeishia hapa. Jerry alishindwa tumia mwanya wa Manji kuisaidia yanga kutengeneza mifumo mizuri na endelevu.
6. Nasisitiza Yanga hatuhitaji mtu kama Haji hana faida kwa club kama Yanga, tunahitaji afisa habari atayetengeneza mifumo bora ya utoaji habari, labda niseme financially tumeanguka lakini D10 amejitahidi na anaacha alama isiyofutika yanga. Nikukumbushe YANGA MAGAZINE, YANGA TV, YANGA HEADED PAPER, PRESS CONFERENCE ROOM JANGWANI, professional WEBSITE ambayo watu walikuwa wanaweza nunua jezi online, ilikuwa ni hatua kubwa lakini kwa namba moja tumeshindwa tekeleza kutokana na hali yetu. Yanga tulikuwa tunaenda kuwa na wimbo wetu wa Club lakini changamoto za sasa zimefanya tusifike hapa. Hivi ndo vitu afisa habari inabidi afanyie kazi sio kupiga majungu Instagram kama Haji.
7. Mwisho nasisitiza YANGA haihitaji MTU kama Haji Manara kwenye nafasi ya afisa habari , labda kuwa group admin wa Whatsup or Instagram page ya Yanga. Kazi ya kuhamasishana inatakiwa ifanyike kwa magroup ya Whatsup na afisa habari lazima awe strategic planner
GasPa GanGo