Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, how could you miss that:
Tanzania Daima.
Jumanne, Julai 8
Jamani asiwadanganye mtu kuwa mimi ninaweza kununuliwa, kwani bei yangu haijulikani, na sitegemei kunyamaza kwa wote wanaoshiriki katika kutafuna rasilimali za nchi, alisema Zitto.
Zitto alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki mjini Tanga alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara baada ya mkazi mmoja wa mjini humo kumuuliza kama kuteuliwa kwake katika kamati ya kuchunguza masuala ya madini kulikuwa na nia ya kununuliwa na kuukacha upinzani.
Well,seems like you'll just have to make one gentleman.
There's no more room for 'devilicious' doctrines.
mzee.. ni mwanadamu mimi. Thanks
Sio hivyo Mkuu, ila ni kwamba hilo gaffe la Zitto (Mh.) lilizua mjadala ulioendelea hapa JF ndio maana nikashangaa hukuusikia.
totally missed it...!! Kwa sababu naweza kuiona hiyo gaffe 100 miles away..
Kwa hiyo unakubali hapo kateleza kidogo kujieleza?
Baada ya tafakari ya kina nimeamua kuacha kuandikia mojawapo ya magazeti ya nyumbani ili nijipe muda wa kushughulikia mambo yangu mengine (watoto wasije kulala njaa). Unless mambo yakibadilika lakini nadhani kuna makala moja tu ambayo itatoka na itakuwa mwisho wa kuendelea kuandika.
m.m. m.
Ina maana ulikuwa hulipwi au ulilipwa kiduchu?
<---> ili nijipe muda wa kushughulikia mambo yangu mengine (watoto wasije kulala njaa).
sijasema hayo yote... ngoja ni modify hilo kabla haijawa tatizo.
Kwa hiyo umemodify kuwa ulikuwa hulipwi au ulikuwa unalipwa kiduchu? Ni lazima iwe kati ya hayo au hiyo ya kujishughulisha na mengine manono zaidi ili watoto wasilale njaa inakujaje?
Kwa maneno mengine haihusiani na kulipwa au kutolipwa kwenye hilo gazeti, inawezekana bill zimezidi upande huu!
Au maana nyingine ni kuwa bills zimezidi upande huu and you were getting nothing or too little from your writtings that could not help pay for your increasing bills. Unless unaondoa suala la increasing financial responsibilities, then it has to do with payments, i.e., either you were paid too little or nothing. Which is your case? Mkuu MMJJ, hapa unatunazungusha.
Unajizungusha mwenyewe kwa kweli. Nimeshaweka maelezo yangu vizuri sasa sijui kama naweza kukusaidia zaidi ya hapo. Ila unaweza kupick lolote kati ya hayo matatu.
MMJJ,
Naona ni kweli labda najizungusha mwenyewe. Ningeomba msaada kwa wanaJF kama kuna aliyeelewa anieleweshe na mimi. Kwangu mimi bado naona alama za $$$$ kama MMJJ alivyojieleza.
Kubwajinga,
Sijui mwenzangu MKJJ kama alikuwa analipwa, lakini najua waandishi wa makala wengi kwa Tanzania, nikwemo mimi, huwa tunajitolea tu. Ni njia ya kutoa mchango wa mawazo katika jamii.
This is very simple explanation and very clear. Sijui kwa nini MMJJ alikuwa anatumia quantam theory kuelezea simple arithmetic. Thanks anyway Kitila.