Nasita kuiona Taifa Stars ikifuzu AFCON

Nikilitizama tu kundi alilopo taifa stars

naishiwa na iman ya kuipa nafasi team

yangu ya taifa.View attachment 1052759

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, With all due respect
Wizara ya habari na michezo, Wizara ya sheria na katiba na other related government authority inabidi zije na mikakati thabiti na mirefu ya kulinda HAKI MILIKI TANZANIA.
Leo hadi TFF inashindwa control jezi zao! kuna jezi nyingi sana zinauzwa kariakoo sidhani kama mapato yanafikia Taifa Stars jezi za simba,yanga zinauzwa hovyo na wahuni wachache mtaani huku club zinakosa mapato.
Leo Yanga inashindwa kuuza hata jezi copy million moja ipate pesa ya kujiendesha, Lipuli mfano sijajua kama hata ilishawahi fikisha copy laki moja.
Huu wizi wa kazi za sanaa kila mahari kwenye muziki na movie ndo balaa msanii anawafuasi 4M ila akitoa kazi yake mfano albam hata copy laki moja hawezi kuuza sababu ya wizi!
Wamiliki wa kazi wanakosa pesa na kuwa masikini na serikali inakosa mapato
Kimsingi Arena hii ya haki miliki ni tax base nzuri sana na ambayo inaweza kukuza mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa sana.
Tunahitaji Reformation ya either Taasisi au individual hizi sector za burudani zikisimamiwa vizuri zitaleta mabadiliko makubwa sana.
*attention to details*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ya stars kwenda Afcon hiyooo...... Afcon 2019 ni zamu yetu.
 
Taifa stars wajipange wakati ujao tu hakuna namna kikosi cha kipuuzi kama kile wategemee kuvuna mabua au labda watuachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…