Elections 2010 Nasita kumwita jina la JK

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,263
Ndugu zanguni tangu kikwete alipoanza kung'ang'ania kuingia ikulu na kuomba sana awe anaitwa JK (Jakaya Mrisho Kikwete) badala ya JM yaani alidhamilia kuwasahaulisha watu ile imani ya JK (Julius Kambarage Nyerere) halisi kuwa nafasi ya urais haimfai....
Mimi binafsi huwa nashindwa kumuita JK kwani huyu JM hafikii wala hana dalili za kuweza kufikia japo robo ya JK.
 
sidhani kama kifupi cha jina lake linaweza kukufanya wewe kumuona hafai kwa kudai kuwa anajifananisha na kambarage nadhani cha kuzingatia ni mambo aliyoyafanya na si kifuppi cha jina lake kama unavyo fikiria wewe< TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Au jakaya kilaza?
 
 
 
 
Nyerere ndie aliekosea kujiita JK, angejiita JN (Julies Nyerere)

Kikwete nisawa kabisa kuitwa JK, JK imekusanya jina lake na babu yke ambayo ni surname yake, nyerere surename yake sio Kambarage bali ni Nyerere, kwa hiyo yeye Nyerere angeitwa JN Julius Nyerere na kikwete lazima aitwe JK(Jakaya Kikwete)

Nyie wanamtandao wa kanisa la chadema mmekuwa kama mavuvuzela mpaka mnatia kichefuchefu sasa, mnajilazimisha kumfagilia mchungaji wenu awe Raisi wa tz kweli nyie ni kondoo mliopotea, Mchungaji Slaa hamuwezi Kiwete na Lipumba kwa lolote, Education nakadhalika
 
sidhani kama kifupi cha jina lake linaweza kukufanya wewe kumuona hafai kwa kudai kuwa anajifananisha na kambarage nadhani cha kuzingatia ni mambo aliyoyafanya na si kifuppi cha jina lake kama unavyo fikiria wewe< TAFAKARI CHUKUA HATUA.

hatua gani? umeielewa mada kweli? ene wei, karibu ndani ya mjengo
 
"...Nyie wanamtandao wa kanisa la chadema mmekuwa kama mavuvuzela mpaka mnatia kichefuchefu sasa, mnajilazimisha kumfagilia mchungaji wenu awe Raisi wa tz kweli nyie ni kondoo mliopotea, Mchungaji Slaa hamuwezi Kiwete na Lipumba kwa lolote, Education nakadhalika.." by Bull

na wewe! unaweza kweli ukawalinganisha wote watatu kwa kigezo cha elimu?

mnamwonea sana huyo Slaa, kwa kuwa tu ana sera za kutisha, majambazi, fisadi, wavivu, walaghai wote roho juu! mnasahau kwa siasa ni dume tangu enzi akiwa Roma, alikuwa kada wa CCM ENZI HIZO 1981!1!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…