Naomba msaada maana tangu najiskia hali amvayo cjawahi kuiskia. Jilianza kujiskia km tumbo linavuta vuta jana na leo hii yaani sasa hivi naskia km kuna kitu upande wa kushoto tumboni.na hii hali ni nara ya kwanza kutokea. Imenianza jana asubuhi mpaka sasa hivi.
Naomba ushauri.
Naomba ushauri.