Naskia kama kuna jiwe upande wa kushoto baada ya kufanya mapenzi

diet

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
56
Reaction score
8
Naomba msaada maana tangu najiskia hali amvayo cjawahi kuiskia. Jilianza kujiskia km tumbo linavuta vuta jana na leo hii yaani sasa hivi naskia km kuna kitu upande wa kushoto tumboni.na hii hali ni nara ya kwanza kutokea. Imenianza jana asubuhi mpaka sasa hivi.

Naomba ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…