SawaWakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Utamu unuzi haya mama cheka mpk gegoWakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Nina wasi wasi kabisaAahahahahaaaaaa
Ataishia kujivuruga mwenyewe, Mahaba hayataki papara .....
Ni mwendo wa paaah pozi paah pozi paaah pozi....[emoji38][emoji38] kama unanyapia vile [emoji12].
Nimekuja mbio nikajua naitiwa K Vant.... Dah!
Ngoja niendelee kula ugali na mbuzi katoliki afu niwahi kaunta kwa Emilia...
Malabuku zangu Mia saba hamsini na mbili na robo tatu.
Wanatimua mavumbi sisi twalaaaaaaHivi ganda lako TAE liko upande upi maana Israel inakuhusu...😆😆😆😆
Ngoja Sky ashughulikie visa chaap.